Pichaz 7 za nyumba ya kifahari ya mchezaji Golf tajiri duniani, aliyewapiku Tiger Woods na Phil Mickelson

Tulizoea kumsikia mkali wa Golf Tiger Woods ambaye amewahi kushinda mataji kadhaa makubwa ya mchezo huo duniani kuwa ndio mchezaji wa mchezo huo anayaeongoza kwa utajiri duninia. Kwa list mpya ya mastaa wa Golf matajiri kwa mwaka 2015, Tiger Woods amekuwa mtu wa tatu akizidiwa na Phil Mickelson anayeshika nafasi ya pili na namba moja ikishikwa na Jordan Spieth.
30542C9400000578-3406233-image-a-31_1453201034280
Nimekutana na pichaz za nyumba mpya ya tajiri namba moja wa mchezo wa Golf dunianiJordan Spieth, nyumba hii ipo Dallas Marekani imenunuliwa kwa dola milioni 8.4 ambazo ni zaidi ya bilioni 17 za Kitanzania. Cheki pichaz mtu wangu za mjengo wenyewe una uwanja wa Basketball pia.
3053DF1200000578-3406233-image-a-13_1453200900498
Jordan Spieth akiwa na mchezaji mwenzake kulia Rickie Fowler
30542CB600000578-3406233-image-a-35_1453201086433
30542C8800000578-3406233-image-a-43_1453201146282
30542C9F00000578-3406233-image-a-40_1453201103106
30542CA700000578-3406233-image-a-41_1453201130575
30542CBA00000578-3406233-image-a-37_1453201099911
ac
List ya wachezaji Golf matajiri kwa mwaka 2015
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Chapisha Maoni