Pendeza na kitenge kama hicho ukishona muunganiko wa suruali na blauzi utokelezee bombaa

Je vigauni hivyo haujavipenda?? yani vinapendeza sana hasa kwa mtoko ukiwa na baba kaylah pembeni mtanoga haswaaa

0 maoni:
Chapisha Maoni