
The Big Boss wa DKMC Oladapo Daniel Oyebanjo ambaye wengi wamemzoea kamaD’banj ametangaza kumpatia ajira mrembo aliyekuwa anasomea Management Information System kutoka Covenant University. D’banj ametangaza kumpatiaChidinma Ughamadu ajira ambayo bado hajaiweka.
D’banj ambaye aliamua kutangaza kumpatia ajira Chidinma, baada ya yeye kuanzisha hash tag #kokobusiness ili kujitangaza kibiashara, ila mrembo huyo aliamua kufungua account rasmi @kokobusiness katika mtandao wa twitter wala sio hash tag na kuiendeleza.

CEO huyo wa DKMC alionekana kuvutiwa na uwezo wa kufikiri kwa Chidinma kwa kufungua account, wakati yeye alikuwa ana tumia hash tag kupromote biashara zake.



0 maoni:
Chapisha Maoni