
Pendeza na kitenge kama hicho ukishona muunganiko wa suruali na blauzi utokelezee bombaa

Je vigauni hivyo haujavipenda?? yani vinapendeza sana hasa kwa mtoko ukiwa na baba kaylah pembeni mtanoga haswaaa
Sketi na blauzi je utanogaje lakini mimi nakaa kimya kwanzia sasa wewe jionee tuu kwa macho na usikubali kula kwa macho fanya sasa maamuzi nipigie kwenye namba 0656 475744

0 maoni:
Chapisha Maoni