Mwigizaji wa filamu ya Rocky Tony Burton afariki


Marehemu Tony Burton kushoto na Sylvester Stalone
Tony Burton aliyeshiriki katika filamu sita za Rocky dhidi ya Sylvester Stallone amefariki akiwa na umri wa miaka 78.
Kiini cha kifo chake bado hakijulikani ,lakini dadaake ,Loretta Kelly amesema kuwa amekuwa akienda hospitalini katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita.
Ameongozea kuwa hajapata utambuzi wa ugonjwa wake katika wakati huo na kwamba hali yake ya afya ilikuwa imezorota hali ya kutoweza kuiona filamu ya Creed.
Uigizaji wake ulimsaidia Creed ambaye ni mpinzani wa Rocky Balboa katika filamu mbili za kwanza za masumbwi kabla ya kuwa mkufunzi wa Balboa.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Chapisha Maoni