Mchezaji bora namba
tatu wa Dunia katika mchezo wa Tenisi Roger Federer atakuwa nje ya
uwanja kwa muda mwezi baada ya kuumia goti.
Federer mwenye miaka
34 ambaye ni mshindi mara 17 wa Grand Slam aliumia wakati wa mashindano
ya wazi ya Australian huku akiondoshwa katika hatua ya nusu fainali na
Novak Djokovic wiki iliyopita.
- Blogger Comment
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
0 maoni:
Chapisha Maoni