Winga wa Manchester United Memphis Depay ataondoka msimu huu hii imeripotiwa na ‘The sun’kuwa winger huyo ameshindwa kufikia matakwa ya timu hiyo ya mji wa Manchester
Depay alitazamiwa kuwa ndiye mrithi wa Christiano Ronaldo kutokana na
aina ya uchezaji wake alivyo kuwa PSV, alipewa jezi ya heshima ya timu
hiyo namba 7 ambayo mastaa wote wa timu hiyo
walivaa,Cantona,Beckham,Ronaldo na wengine wengi.
Depay amechemka kuonesha kiwango chake tangu afike klabuni hapo wakati
mwingine anaweza kutoa pasi yenye kuigharimu timu yake kutokana kukaa na
mpira muda mrefu kisha kuchukuliwa miguuni mwake.
Wengine wanao tazamiwa kuondoka msimu huu ni Marcos Roja ambae amecheza
michezo 10 alie anza msimu huu,pamoja na Phil Jones ambae majeruhi
yamemsonga.
Wakati hao wanaondoka kocha wa timu hiyo LOUIS Van Gal nae ataona mlango wa kuondokea msimu ukiisha.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 maoni:
Chapisha Maoni