MABONDIA PIUS KAZAULA WA PILI KUSHOTO AKIWA NA MPINZANI WAKE SEBA TEMBA |
REFARII WA MPAMBANO WA MASUMBWI SAID CHAKU AKIWAINUA MIKONO JUU MAONDIA PIUS KAZAULA KUSHOTO NA SEBA TEMBA BAADA YA MPAMBANO WAO KUMALIZIKA KWA DROO |
Bondia
mohamed Matumla kushoto akioneshana uwezo wa kutupiana makonde na
Cosmas Cheka wakati wa mpambano wao uliofanyika jumapili ya pasaka
katika uwanja wa ndani wa taifa mpambano uho ulisha kwa droo
Mabondia
Mada Maugo kioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Abdallah Pazi
wakai wa mpambano wao Pazi alishinda kwa T.K.O ya raundi ya tatu wakati
wa mpambano wao uliofanyika uwanja wa ndani wa Taifa
Mabondia
Nassibu Ramadhani kushoto akionshana umwamba wa kutupiana makonde na
Fransic Miyeyusho wakati wa mpambano wao wa raundi nane uliofanyika
katika uwanja wa ndani wa taifa siku ya jumapili ya psaka mpambano uho
ulisha kwa maamuzi ya droo
Bondia
Pus Kazaula kushoto akimrushia kunde la mkono wa kushoto mpinzani wake
Seba Temba wakati wa mpambano wao uliofanyika jumapili ya pasaka katika
uwanja wa ndani wa Taifa Dar es salaam mpambano uho walitoka droo
------------------------------
MASHABIKI
wapata burudani mashabiki waliofika uwanja wa ndani wa taifa kulikokuwa
kunafanyika mchezo wa masumbwi wametoka na furaha tele baada ya
kushuhudia mapambano waliyokuwa wakiyasubili kwa hamu kubwa hapa nchini.
Akizungumza
baada ya kumalizika mpambano uho mratibu wa mapambano hayo Rajabu
Mhamili 'Super D' amesema mashabiki wamefurahia mapambano ambayo karibia
yote yalimalizika kwa droo
Akitaja matokeo ya mapambano hayo amesema bondia Abdallah Pazi
'Dulla Mbabe' alimsambaratisha bondia Mada Maugo kwa T.K.O ya raundi ya
tatu wakati Mohamedi Matumla na Cosmas Cheka waritoka droo wakati Pius Kazaula alitoa Droo na Seba Temba.
Mpambano
mwingine mkali uliokuwa ukisubiliwa kwa hamu na mashabiki wa ngumi
nchini. Kati ya bondia Nassibu Ramadhani na Francis Miyeyusho nao pia
umemalizika kwa sare.
Wakati huo huo mabondia Mfaume Mfaume na Ramadhani Shauri wanatarajia
kusaini mkataba wa kuzipiga siku y mei mosi katika uwanja huo huo wa
taifa
0 maoni:
Chapisha Maoni