MSASA MKALI KUPITA KATIKA TIMU YA MAN UNITED JUNI 2016
-MEMPHIS DEPAY Ndiye mchezaji anayeongoza kwa kuiaga timu hiyo ya Man UNITED mwisho wa msimu huu wa juni kutokana na kushindwa kuitimizia timu hiyo matakwa yake hiyo kwani alipewa jezi namba 7 kwa heshima lakini ameshindwa
na pia beki huyu wa katikati wa man united marcos rojo naye atapitiwa na kimbunga hicho baada ya kushindwa kutimiza matakwa ya timu hiyo kwa kuruhusu magoli mengi kupita na kuifanya timu hiyo kuyumba
kipa huyu nae sergio romero nae ataonyeshwa mlango wa kutokea endapo kocha mpya wa timu hiyo meneja jose mourinho atakabidhiwa timu hiyo
na pia kiungo huyu anatarajiwa kuikacha timu hiyo ya MANCHESTER UNITED mara tu ifikapo mwisho wa msimu huu
BY BABU HABIBU MKUSA
0 maoni:
Chapisha Maoni