RONALDO HAONDOKI HAPA NDIYO KWAO ZINADE ANENA UKWELI
-Meneja na kocha timu ya REAL MADRID yenye makazi yake Santiago Bernabeu uhispania ametangaza kwamba kwa timu ambazo zilizania kwamba zitamsajili staa wa timu hiyo cristiano ronaldo mwisho wa msimu huu wajue kwamba wameula.
Alitangaza hivyo ili kuwapasha habari klabu ambazo zinamnyemelea staa huyo kuwa watajijuu.
PSG na MAN UNITED ndiyo timu ambazo zilikuwa zinamnyemelea staa huyo kwa ukaribu ili wamsajili
0 maoni:
Chapisha Maoni