Barcelona imeshindwa kutamba nyumbani baada ya kuchapwa kwa mabao 2-1 na wapinzani wake wakubwa Real Madrid katika mechi ya La Liga iliyopigwa kwenye Uwanja wa Cam Nou mjini Barcelona.
Madrid wangeweza kushinda mabao mengi zaidi kama wangekuwa makini hasa katika kipindi cha pili ambacho mwishoni, waliwashika zaidi. Cheki picha zaidi.
0 maoni:
Chapisha Maoni