Matokeo ya michezo ya jana jumamosi Februari, 13 ya ligi kubwa barani Ulaya

Ligi mbalimbali barani Ulaya ziliendelea jana jumamosi kwa michezo kadhaa na michezo mingine itachezwa leo jumapili. Haya ni matokeo ya michezo ya jana jumamosi.

UINGEREZA – PREMIER LEAGUE
Sunderland 2 – 1 Manchester United
Bournemouth 1 – 3 Stoke City
Crystal Palace 1 – 2 Watford
Everton 0 – 1 West Bromwich
Norwich City 2 – 2 West Ham United
Swansea City 0 – 1 Southampton
Chelsea 5 – 1 Newcastle

HISPANIA – LA LIGA
Real Madrid 4 – 2 Athletic Bilbao
Villarreal 1 – 0 Malaga
Valencia 2 – 1 Espanyol

UJERUMANI – BUNDESLIGA
Dortmund 1 – 0 Hannover 96
Darmstadt 1 – 2 Bayer Leverkusen
VfB Stuttgart 2 – 0 Hertha Berlin
Wender Bremen 1 – 1 Hoffenheim
Wolfsburg 2 – 0 Ingolstadt
Cologne 3 – 1 Eintracht Frankfurt

ITALIA – SERIA A
Empoli 1 – 2 Frosinone
ChievoVerona 1 – 1 Sassuolo
Juventus 1 – 0 Napoli

UFARANSA – LIGUE 1
PSG 0 – 0 Lille
GFC Ajaccio 2 – 3 Troyes
Guingamp 2 – 4 Bordeaux
Montpellier 2 – 0 Toulouse
Nantes 2 – 1 Lorient
Reims 0 – 1 SC Bastia
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Chapisha Maoni