Imeripotiwa kuwa Mchezaji wa criketi wa Australia Piepa Cleary anakabiliwa na adhabu ya miezi sita baada ya kujihusisha na upangaji wa matokeo huku akishtumiwa kupokea rushwa ya dola 15 na nusu ambayo ni sawa na pauni 7. katika mechi kati ya Australia na New Zealand.
Piepa Cleary mwenye mika 19, ambaye anacheza katia timu ya Perth Scorchers ya wanawake wanawake, amekumbwa na hatia hiyo baada ya ya kukiuka maadili ya kupambana na kanuni zinazopingana na mambo ya rushwa katika mchezo kriketi na akiwa ni mchezaji wa pili kupatwa na tuhuma ya kujihusisha na maswala ya rushwa.
Mnamo mwezi Desemba mwaka jana Angela Reakes, alisimamishwa kwa muda wa miaka miwili baada ya kuhusika katika upangaji wa matokeo katika michuano ya mwaka 2015 ya dunia
0 maoni:
Chapisha Maoni