Tanzania kuanza na Ushelisheli U-17


 
Timu ya Serengeti ya Tanzania, chini ya miaka 17
Shirikisho la mpira wa miguu barani afrika (CAF) limetoa ratiba ya kuwania kufuzu kwa fainali za mataifa afrika kwa vijana wenye umri chini ya miaka 17.
Michuano hii itakazofanyika nchini Madagascar mwakani huku timu ya taifa ya Tanzania itaanza mchezo wake dhidi ya Uhelisheli
Katika ratiba hiyo iliyotolewa makao makuu ya CAF, cairo misri na nakala yake kutumwa kwa TFF, tanzania imepangwa kucheza mchezo wa kwanza dhidi ya Ushelisheli kati ya Juni 24, 25, 26 nchini na mchezaji wa marudiano kuchezwa Julai 01, 02, 03 nchini Ushelisheli.
Mshindi kati ya mchezo huo namba 15 na 16 atacheza dhidi ya timu ya taifa ya AfrikaKusini katika hatua inayofuata ya 16 bora, na kisha baadaye kupata timu 8 zitakazofuzu kwa fainali hizo zitakazofanyika nchini Madagascar mwakani.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Chapisha Maoni