Mwanamtindo wa
Ivory Coast ,Loza Maleombho amejipatia sifa baada ya mtindo wake mmoja
kuonekana kwenye kanda mpya ya video ya mwanamuziki nyota wa Marekani
Beyonce.
Vazi hilo limevaliwa na mwanadensi katika video hiyo ya mwanamuziki huyo Marekani.Bi. Maleombho alianza kazi yake ya mitindo huko mjini New York, lakini baadaye akahamia Ivory Coast.
Mitindo yake imeenea nchini Nigeria , Uingereza na Marekani.
0 maoni:
Chapisha Maoni