Mastaa ni watu ambao vitu vyao vingi wanavyovifanya huwa vinawekwa katika kumbukumbu ya kila siku, iwe na watu wa rekodi au hata mashabiki wao, Cristiano Ronaldo ambaye ni mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno anayeichezea Real Madridamewekwa kwenye rekodi hii.
Ronaldo ambaye ni miongoni mwa wanamichezo ambao kampuni ya vifaa vya michezo ya Nike inawatumia kama mabalozi, March 17 Nike imemuandika kupitia101greatgoals.com na kujivunia, kuwa Ronaldo ndio mwanamichezo wa kwanza kuvaa Nike HyperAdapt 1.0, kiatu ambacho ndio kimetoka wiki hii.
0 maoni:
Chapisha Maoni