Leo watoto wa Catalunya walikuwa wageni wa timu ya Deportivo la Coruna ili kutafuta ushindi ili waweze twaa kombe la liga mwisho wa msimu huu
Leo walicheza kama wapo vutani kwani walijua wakipoteza mchezo wa leo wangeshushwa na wapinzani wao wakubwa Atletico na Real Madrid ambao watacheza kesho

katika mechi ya leo mpinzani mkubwa kwa ufungaji wa Cristiano Ronaldo,Muuruguay Luis Suarez ameweza kufunga mabao manne na kutimiza mabao 30 katika ufungaji la liga

huku magoli mengine yakifungwa na mshambuliaji nyota Lionel Messi na lingine akifunga Neymar JR pamoja na kiungo Lakitic na mchezo kuisha 8-0kwa ushindi huo
kwa ushindi huo Barcelona wanabaki kileleni wakiwa na alama kama zinavyoonesha kwenye picha hapo juu hadi nafasi ya kumi ligi ya Uhispania

0 maoni:
Chapisha Maoni