KAZI NZITO LA LIGA BARCA,ATLETICO MADRID NA REAL MADRID ZAPETA KWA USHINNDI



Barcelona walikuwa wageni wa Deportivo La Coruna na kuondoka na ushindi wa bao 8-0 huku Luis Suarez akiingia nyavuni mara 4 na Neymar kushinda goli pamoja na Messi na Lakitic


 Nao wapinzani wao wanaowafuata katika ligi hiyo Atletico Madrid wamepata ushindi wa bao 1-0 ugenini kwa Atletico Bilbao na kuwa sawa kwa pointi na wapinzani wao Barcelona huku wababe hao wakiongoza ligi kwa magoli mengi



Bao pekee la Atletico Madrid limefungwa na mshambuliaji wa zamani wa Liverpool na Chelsea za Uingereza,Torres katika dakika ya 38 ya mchezo na mechi kuisha kwa bao 1-0



 Nao vijana wa mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Ufaransa Zinadine Zidane yenye maskani Santiago Bernabeu REAL MADRID wameilaza timu ya Viralleal mabao 3-0 katika dimba la Santiago Bernabeu 



Mabao ya timu hiyo yalifungwa na Karim Benzema, Luca Modric na Lucas Vazquez na mchezo kumalizika kwa ushindi huo wa mabao 3-0         
            
           kutokana na ushindi huo wa timu sasa msimamo wa ligi unasomeka kama ifuatavyo
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Chapisha Maoni