Mshambuliaji nyota wa PSG, Zlatan Ibrahimovic ameendelea kuonyesha makali yake baada ya kufunga mabao matatu wakati timu yake ikiitwanga Nice kwa mabao 4-1.
Hiyo ilikuwa ni mechi ya Ligi Kuu ya Ufaransa maarufu kama League 1.
Hatem Ben Arfa aliifungia Nice bao moja, lakini Zlatan akapiga hat trick huku beki David Luiz akapiga moja.
0 maoni:
Chapisha Maoni