
Timu ya West Indes mabingwa mara mbili ya mashindano ya dunia ya T20, watakutana na England mjini Kolkata siku ya Jumapili.
Timu
ya west Indes ambao ni mabingwa mara mbili ya mashindano ya dunia ya
T20, watakutana na England ambao ni washindi wa mwaka 2010 mjini Kolkata
siku ya Jumapili.
West Indes inaungana na timu yao ya wanawake
katika fainali baada ya kuitoa Newzeland kwenye mchezo wa nusu fainali
siku ya Alhamisi.
Kukutana kwa west Indes na England kunawafanya wenyeji wa mashindano India kusubiri kutwaa taji hili hadi mashindano mengine.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 maoni:
Chapisha Maoni