Al Ahly ndo walitangulia kupata bao kupitia faulo iliyopigwa na kumaliziwa na msambuliaji wao jezi namba 9
MECHI YA LIGI YA MABINGWA AFRIKA KATI YA YANGA NA AL AHLY YA MISRI IMEISHA KWA SARE YA MABAO 1-1 KWENYE UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM, LEO. CHEKI KAZI ILIVYOKUWA.. |
na baadaye kapteni wao alijifunga kwa kuuzamisha nyavuni mpira uliopigwa na Abobucar katika kipindi cha kwanza
0 maoni:
Chapisha Maoni