Timu ya Real Madrid baada ya kufungwa mabao mawili dhidi ya Wolfsburg katika kombe la ulaya sasa leo wameamua kulipiza kisasi cha hatari kwa kuwapiga kipigo haswa timu ya Eibarmadrid walitangulia kupata bao la kwanza kupitia James Rodriguez kwa mkwaju wa faulo ambao uliingia kinywani moja kwa mojana baadae kupata goli la pili kupitia lucas V. huku ronaldo akifunga bao la tatu na Jesse kufunga la nne na kukamilisha orodha hiyo ya mabao
Huku wapinzani wao wakubwa Athletico Madrid nao wakijipoza baada ya kufungwa katika UEFA hivyo wamepata ushindi wa bao 3-1 dhidi ya Espanyol
- Blogger Comment
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
0 maoni:
Chapisha Maoni