CHELSEA CHALII,CITY YATAMBA HUKU ARSENAL IKIBANWA KIMBEMBE SPURS NA MAN U KESHO
-
Samir Nasri leo akitokea majeruhi ameweza kuipa timu yake ushindi mzuri wa bao 2-1 dhidi ya West Brom na kuiweka katika nafasi nzuri ya Top 4 huku waliojuu yao wagonga nyundo wa London,Arsenal wakipata suluhu bomba dhidi ya West Hamgoli la kwanza lilifungwa na Aguero kwa mkwaju wa penati na baadaye wapinzani wao walisawazisha goli hilo ndipo Nasri alipokuja kuwainua mashabiki wa man city kwa goli la ushindipia vijana wa Chelsea leo wameshindwa kutamba mbele ya swansea baada ya kuambulia kipigo cha bao moja bilabao ambalo lilifungwa na Gylfi Sigurdsson katika mchezo huo na matokeo kubaki hivyo hadi mwisho wa kipenga cha mchezo
0 maoni:
Chapisha Maoni