Staa wa Barcelona Neymar Jr pamoja na baba yake wameamriwa na mahakama huko Brazil kulipa kiasi cha Euro 100,000 zaidi ya milioni 200 za Kitanzania kama faini baada ya kushindwa kulipa kodi.
Mwanasheria wake amesema Neymar hakuridhishwa na dhabu hiyo na anatarajiwa kukata rufaa.
Neymar na baba yake wanakabiliwa na faini hiyo iliyotokana na kodi ya mapato tangu mwaka 2012.
0 maoni:
Chapisha Maoni