Nisha: Nikilala na kuamka na Barakah inatosha



93d57606a7ea149b0b7248d50d3067f0Staa wa Bongo Muvi, Salma Jabu ‘Nisha akiwa na ‘Barakah Da Prince.


Dar es Salaam: Staa wa Bongo Muvi, Salma Jabu ‘Nisha’ ambaye kwa sasa yupo kwenye malavidavi na Mwanamuziki Baraka Andrew ‘Barakah Da Prince’, amefunguka kuwa hajali ni wangapi wanampenda jamaa huyo kikubwa analala naye na kuamka naye.
Akizungumza na mwandishi wetu, Nisha alisema kuwa kwa kawaida tamaa kwa wanaume ni jambo la kawaida lakini kwa upande wake anaangalia ni jinsi gani mwanaume huyo anavyompenda na kumjali huku akilala na kuamka naye.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Chapisha Maoni