Yoyote ambae anaufuatilia muziki wa Kanye West akikutana nae hawezi kuacha kupiga nae picha. Diamond alisafiri kuelekea Marekani Las Vegas kwa ajili ya kufanya show, ambapo kwenye maelezo ya hii picha, ilionekana wakati huo alikuwa Los Angeles.
Kwa ninavyo fahamu Diamond anakuwa mtanzania mwingine, aliyepiga picha na Kanye West, ambapo Vanessa Mdee amewahi kukutana na Kanye West na kuongea nae.
0 maoni:
Chapisha Maoni