Mkali kutokea kundi la Wanaume Family, Chege Chigunda kaisogea hii nyingine inayokwenda kwa jina la ‘Sweety Sweety Dance‘ ndani yake akiwa amewashirikisha mastaa kama Runtown na Uhuru huku Kichupa kimetengenezwa na directer kutokea Tanzania, anakwenda kwa jina la Pablo
Unaweza kuitazama hapa chini….
0 maoni:
Chapisha Maoni