Wachezaji wanne wa FC Barcelona wanaoongoza kwa kuchelewa mazoezini, hii ndio faini yao

Kocha wa klabu ya FC Barcelona ya Hispania Luis Enrique ameweka utaratibu kwa wachezaji wa klabu hiyo kupigwa faini kama hawatakuwa na utamaduni wa kuheshimu muda, lengo la Enrique ni kuhakikisha kila mchezaji aweze kwenda na muda.
March 25 Gerrard Pique ndio ametajwa kuongoza kwa uchewaji zaidi ndani ya klabu hiyo akifutiwa na Neymar, Adriano na Arda Turan. Hiyo ndio list ya wachezaji wa klabu hiyo wanaoongoza kwa kuchelewa wakati wa mazoezi na mechi.
Bar
Wachezaji wa FC Barcelona huwa wanapigwa faini ya euro 200 ambazo ni zaidi ya shilingi laki nne za kitanzania kwa kosa la kuchelewa mazoezini, lakini hupigwa faini ya euro 400 ambazo ni zaidi ya shilingi laki nane za kitanzania, kama utachelewa wakati wa mechi.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Chapisha Maoni