Mshambuliaji wa zamani wa Liverpool na Newcastle United,Andry Caroll ndiye MAN OF THE MATCH kwa kupiga Hat Trick iliyowafanya majogoo wa jiji Arsenal kukosa ushindi huo muhimu wakiwa ugenini
Mesut Ozil na Alexis Sanchez waliiweka Arsenal kifua mbele kufuatia pasi nzuri za Iwobi ,lakini Caroll alifunga mabao mawili ya ghafla ndani ya sekunde 160 ili kusawazisha.
- Blogger Comment
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
0 maoni:
Chapisha Maoni