BARCA YAWA MDEBWEDO YAPIGWA 1 NA REAL SOCIEDAD UGENINI
-Barcelona leo yakandamizwa bao 1 dhidi ya wapinzani wao wa muda mrefu pindi wakiwa nyumbani kwao Estadio Anieto.
Ushindi huo unaifanya Barcelona kuwa katika hali ngumu kwani wapinzani wao wanaowafuatia katika msimamo wa ligi Athletico Madrid wamepata ushindi wa bao mbili kwa moja na kupishana pointi tatu na timu hiyo ya Catarunya huku wababe wa Santiago Bernabeu,Real Madrid chini ya kocha mfaransa Zinadine Zidane wamepata ushindi wa mabao manne na kupishana pointi sita tu na kinara wa ligi hiyo Barcelona
na pia Cristiano Ronaldo amezidi kujiweka vizuri ili kuhakikisha anachukua kiatu cha ufungaji bora msimu huu kwa kufunga goli lake la 30 leo dhidi ya Eibar
0 maoni:
Chapisha Maoni