
Waswahili wanasema ''kwaheri ya kuonana'' hii ndiyo imeikuta timu ya Barcelona katika ligi ya mabingwa ulaya baada ya kuchapwa mabao 2 kwa 0 dhidi ya atletico zifuatatazo ni picha mbalimbali katika mtanange huo


magoli yote ya atletico madrid yamefungwa na ANTONIE GREIZMANN katika kipindi cha kwanza na kipindi cha pili


na lakini katika kipindi cha pili vijana wa Barcelona walipata penati lakini cha kushangaza Iniesta alikosa hiyo penati na kuishia mikononi mwa kipa wa atletico madrid


This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 maoni:
Chapisha Maoni