Mtanange kati ya West Ham United dhidi ya Manchester United raundi ya pili umemalizika na timu ya Manchester United kusonga mbele katika michuano hiyo ya kombe la FA kwa kuwachapa watoto hao wa London hao na sasa kazi inayofuata kwa Manchester United ni kukumbana na timu ya Everton
Katika mechi ya leo ambayo nahonda Wayne Rooney alirejea kikosini baada ya kuugulia maumivu kwa kipindi kirefu na goli la kwanza la man united likifungwa na kinda Rashford
huku goli la pili likifungwa na Maroune Fellaini kwa shuti kali na kutinga nyavuni likimwacha golokopia wa west ham na baadae west ham walipata goli la kufutia machozi na kuacha matokeo yakiwa man united 2 vs 1 west ham
Home TeamWest HamAway TeamMan Utd
- Possession
- Home44%
- Away56%
- Shots
- Home20
- Away10
- Shots on Target
- Home9
- Away4
- Corners
- Home5
- Away7
- Fouls
- Home7
- Away17
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 maoni:
Chapisha Maoni