April 12 2016 Shirikisho la soka Tanzania TFF kwa kushirikiana na kituo cha Azam TV kilifanya live droo ya kupanga mechi za nusu fainali ya Kombe la FA ambalo linajulikana kama Azam Sports Federation Cup (ASFC). Utaratibu wa droo hiyo ulikuwa timu ya kwanza kutajwa ndio ilikuwa inapata nafasi ya kuwa mwenyeji.
- Blogger Comment
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
0 maoni:
Chapisha Maoni