March 13 2016 washindi wa tuzo ya Africa Magic Viewer’s choice Awards 2016,Single Mtambalike na Elizabeth Michael ‘Lulu’ leo waamezipeleka tuzo zao mbili nyumbani kwa Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu.
Waigizaji hao ambao kila mmoja alishinda tuzo katika vipengele tofauti ambapo Mwigizaji wa kike Elizabeth Michael (Lulu) alishinda Tuzo ya Best Movie in East Africa katika Movie yake ya Mapenzi na Single Mtambalike (Richie) alishinda tuzo ya Best Indigeous Language Movie/TV Series Swahili kupitia Movie ya Kitendawilizilizotolewa Lagos, Nigeria Jumamosi ya March 5 2016.
Mtu wangu wa Nguvu nimekosogezea picha 20 kuotoka nyumbani kwa Mama Samia Suluhu
Makamu wa Rais Samia Suluhu akipeana mkono na Steve Nyerere, pembeni ni Lulu na Richie
Makamu wa Rais Samia Suluhu, Steve Nyerere, pembeni ni Lulu na Richie
Makamu wa Rais Samia Suluhu
Elizabeth Michael (Lulu) na Single Mtambalike (Richie)
Elizabeth Michael (Lulu)
Makamu wa Rais Samia Suluhu na Elizabeth Michael (Lulu)
Single Mtambalike (Richie) akiwa ameshikilia tuzo
Makamu wa Rais Samia Suluhu na Single Mtambalike (Richie)
Katikati ni Mwigizaji Wema Sepetu
Mwigizaji Wema Sepetu
Makamu wa Rais Samia Suluhu, Steve Nyerere, pembeni ni Lulu na Richie
Makamu wa Rais Samia Suluhu, Lulu na Richie
Waigizaji Wema Sepetu, Stev Nyerere, Lulu na Richie katika pozi na Makamu wa Rais Samia Suluhu
0 maoni:
Chapisha Maoni